BEI ya nyama imepanda kutoka 9,000 hadi 13,000 kwa kilo moja, hali inayowafanya wananchi wengi kushindwa kumudu kitoweo hicho. Wakuzungumza kwa nyakati tofauti, wananchi waliofika kununua kitoweo ...