资讯

MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi (CCM) Mkoa wa Morogoro, Dk. Careen-Rose Rwakatale, amewataka viongozi wa CCM katika wilaya mbalimbali za mkoa huo kuhakikisha wanajitoa kikamilifu katika ujenzi wa ...
Mkurugenzi Mtendaji wa MUWSA Mhandisi Kija Limbe. Mahakama ya mwanzo Wilaya ya Moshi Mjini imemuhukumu kifungo cha mwaka mmoja jela Shafii Kondo (56) mkazi wa mtaa wa Kiusa kwa kosa la kuiba mita za ...
Eneo la Mashariki ya DRC limekabiliwa na miongo kadhaa ya migogoro, lakini mvutano umeongezeka katika miezi ya hivi karibuni kutokana na kusonga mbele kwa kundi la waasi wa M23 ambalo jumuiya ya ...
Biashara ya kimataifa inaweza kupungua kwa asilimia 3 kutokana na hatua mpya za ushuru zilizochukuliwa na Marekani ambazo kwa muda mrefu zinaweza kubadili na kuimarisha uhusiano wa kibiashara wa ...
Simba SC ilipindua matokeo ya kipigo cha 2-0 kwenye mechi ya kwanza dhidi ya Al Masry kwa ushindi wa 2-0 katika dimba la Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, na baadaye kushinda kwa mikwaju ya ...
Mwanza. Mahakama ya Wilaya ya Kwimba, mkoani Mwanza, imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela mkazi wa Kijiji cha Kinamweli, Iddy Makungu (30) kwa kosa la kubaka na kumpa ujauzito mwanafunzi mwenye umri ...
SWALI ambalo huko mtaani mashabiki wanajiuliza ni kwamba, hiyo mechi ya Kariakoo Dabi ipo au haipo? Hiyo ni baada ya kuahirishwa kwa mchezo huo namba 184 wa Ligi Kuu Bara kati ya Yanga na Simba ...
Meneja habari na mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally amesema kuwa mashabiki wa Simba na Watanzania kiujumla hawapaswi kuwa na wasiwasi kwani mchezo huo dhidi ya Al Masry utapigwa katika Uwanja wa ...