Wakati waasi wa M23 ikiendelea kusonga mbele kuelekea ‘maeneo mengine ya kimkakati’ mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, baada ya kuteka miji ya Goma jimboni Kivu Kaskazini na Bukavu ...
BENKI ya Azania imetangaza uzinduzi wa mfumo wake mpya wa kidijitali wa kibenki, AZANIA DIGITAL, ambao ni jukwaa la kisasa linalolenga kutoa suluhisho la kibenki linalofaa kwa wateja kote nchini.
Maelezo ya picha, Gabbard ana miaka 43; alikuwa na umri wa miaka 31 tu alipochaguliwa kuwa Congress. 17 Februari 2025 Bunge la seneti nchini Marekani lilimuidhinisha aliyekuwa mbunge Tulsi Gabbard ...
Hata hivyo, hali ilichukua sura mpya mnamo Februari 2022, wakati Urusi ilipoanzisha uvamizi wa kijeshi mkubwa dhidi ya Ukraine. Vita hivyo vimechukua zaidi ya miaka mitatu sasa, na viongozi wa ...
Randriamandrato kutoka Madagascar, waziri mambo ya nje wa zamani alijiondoa katika raundi ya tatu. Youssouf, sasa anakwenda kumrithi Moussa Faki Mahamat, kama mwenyekiti mpya wa Tume hiyo ya Umoja wa ...
Mabao hayo yamemfanya afikishe saba hadi sasa akiwa ndiye kinara wa timu hiyo yenye maskani yake mjini Bukoba na katika kuhakikisha wanaendelea kusalia na mchezaji huyo, mabosi wa Kagera waliamua ...
Mnyama Simba kwa sasa ni kama kajipata na licha ya kuachwa pointi moja na watani zao wa jadi wanaokimbizana nao kwenye kuwania ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu, imesaliwa na mechi moja mkononi huku ...
Ni ukweli ulio dhahiri kuwa Tanzania tuko katika mkwamo wa safari ya kuandika Katiba mpya na ukichunguza sana utabaini maslahi ya kisiasa ndio kizingiti cha mchakato huu, ndio maana nauliza, mnaonaje ...
Na Mwandishi Wetu, Morogoro Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amepiga marufuku raia wa kigeni kuingia na kufanya shughuli kwenye leseni za uchimbaji mdogo, kutokana na ...
Dar es Salaam. Mnyama Simba kwa sasa ni kama kajipata na licha ya kuachwa pointi moja na watani zao wa jadi wanaokimbizana nao kwenye kuwania ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu, imesaliwa na mechi ...