Étienne Tshisekedi wa Mulumba. Kwa mujibu wa mtaalamu wa siasa katika Chuo Kikuu cha Katoliki cha Graben, Gaucher Kizito "mwanasiasa huyu alifaidika na bado anafaidika na umaarufu wa baba yake." ...
Leo imetimia miaka miwili, mwili wa marehemu Etienne Tshisekedi wa Mulumba umesalia ndani ya chumba cha kuhifadhi maiti huko Ubelgiji. Licha ya juhudi za familia yake na chama chake kutaka mwili ...