Chanzo cha picha, Aurelie Marrier d'Unienville Pweza wengi hupatikana Tanzania magharibi mwa bahari Hindi. Abdullah Ali, mwenye umri wa miaka 35, ajitayarisha kuodnoka na boti lake la mbao ili ...