Mvua kubwa iliyonyesha jijini Nairobi usiku ya Jumamosi imesababisha mafuriko makubwa yaliyoathiri maeneo kadhaa. Shirika la Msalaba Mwekundu la Kenya limeripoti kuwa limepokea wito wa usaidizi ...
Jiunge nasi katika safari ya kipekee hadi makavazi ya kisasa ujionee uhalisi uliobadilishwa kwa njia ya ubunifu jijini Nairobi, Kenya. Makavazi haya mapya na ya kipee duniani, yanaangazia masuala ...