Kisha Wareno wakaja katika karne ya 16 na kuteka bandari zote za pwani ya Afrika Mashariki, ikiwemo Mombasa, pamoja na visiwa vya Zanzibar na sehemu za pwani ya Arabuni, ukiwemo mji mkuu wa Oman ...
Kimvita(Mombasa), Kibajuni huzungumzwa sehemu za Kismayu, Somalia, Kipemba, Kitumbatu na Kimakunduchi huzungumzwa Zanzibar. Halima nyanza alitembelea visiwani Zanzibar, kujua zaidi juu ya Lahaja ...