kumbi mbali mbali na sehemu zingine zote za maombi, Leo Jumapili, kumkumbuka Mandela. "Wakati huu tunapoomboleza kifo cha Mandela, tunapaswa kuwa pia tunaimba kusherehekea maisha yake kwa juhudi ...
Kinyume chake, Mandela alisimama kama kiongozi aliyewaunganisha watu, ambaye "alifika katika maeneo mbali mbali ya dunia na kuleta amani na haki ya jamii ", ANC ilisema. Mandela, ambaye alifungwa ...