Ikiwa ni siku chache tu tangu siku ya wakimbizi Duniani kuadhimishwa, BBC inaangazia simulizi ya Noella Jeanne, msichana wa umri wa miaka 19 kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ambaye sasa ...
Takriban watu 50 wamefariki dunia nchini Kenya baada ya bwawa kuvunja kingo zake kufuatia mvua kubwa na mafuriko, afisa wa shirika la msalaba mwekundu amesema. Watu katika vijiji karibu na Mai ...