Gari limepatikana lililokuwa limezama katika kivuko cha feri huko Likoni, Mombasa Pwani ya Kenya ... Mkurugenzi mkuu wa shirika la Ferry Bakari Gowa asema kwamba wataalam wamebaini kuwa gari ...
Mwili wa mtu ambaye gari lake liliingia baharini katika kivuko cha likoni mjini Mombasa mapema siku ya Jumamosi umeopolewa. Shirika la hudumu za Ferry nchini Kenya KFS limesema kwamba gari la John ...