Msanii mmoja wa muziki wa hip hop mjini Kisauni Mombasa ameanza kampeni kwa jina ''Acha Gun Shika Mike'' ili kuwarai wenzake ambao wamejiunga na magenge ya uhalifu kujiunga na sanaa hiyo ya muziki.
Vijana kutoka kaunti ndogo sita za Mombasa zinazojumuisha Kisauni, Nyali, Mvita, Likoni, Changamwe na Jomvu wameungana kupitia kwa muungano wa mashirika ya kijamii kuhakikisha kwamba hakuna muda ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果