Kuna uwezekano mkubwa kwamba ndani ya simu yako ya mkononi kuna kiasi kidogo cha chuma kilichoanza safari yake mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ambako vita vinaendelea hivi sasa.