Alikuwa Mfanyabiashara….’’’ Ni mwanzo wa mazungumzo yangu na Balozi wa Burundi nchini Tanzania Leontine Nzeyimana. Anasema haikuwa rahisi kwake kufika katika nafasi zote alizowahi kushika ...